Njombe (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 18:
}}
 
'''Njombe''' ni [[halmashauri]] ya [[mji]] wenye hadhi ya [[wilaya]] katika [[Mkoa wa Njombe]] nchini [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''59100''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/njombe.pdf</ref>. Ni pia [[makao makuu]] ya [[Mkoa wa Njombe]] na [[Wilaya ya Njombe Vijijini]]. [[Misimbo ya posta]] ni 59101 (mjini, CBD) hadi 59117.
 
Njombe iko kwenye [[kimo]] cha [[mita]] 2000 [[juu ya UB]] kwenye sehemu ya [[mashariki]] ya [[milima ya Kipengere]], nahivyo [[tabianchi]] ni [[baridi]] kiasi<ref name="Tanzania travel guide">{{cite book|title=Tanzania travel guide|date=June 2015|publisher=Lonely Planet|page=271|edition=6|isbn=978-1742207797|accessdate=12 January 2016}}</ref>. Mji ikouko takriban [[kilomita]] 200 [[kusini]] mwakwa [[Iringa]] na kilomita 150 upande wa [[kaskazini]]-mashariki mwakwa [[Mbeya]]. [[Misimbo ya posta]] ni 59101 (mjini, CBD) hadi 59117.
 
Hadi [[mwaka]] [[2012]] [[kata]] za mji wa Njombe zilikuwa sehemu ya [[Wilaya ya Njombe]] ya awali; baadaye Njombe Mjini na [[Wilaya ya Njombe Vijijini]] zilitengwa kuwa halmashauri [[mbili]] za pekee. Kabla ya kugawiwa eneo la Njombe ilikuwalilikuwa sehemu ya [[Mkoa wa Iringa]].
Wakati wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya hii ya Njombe Mjini ilikuwa na wakazi wapatao 130,223 waishio humo. <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Njombe Region – Njombe Town-Council]</ref>
 
Wenyeji ni hasa [[Wabena]]. Lakini pia, kuna wingi wa watu wa makabila mengine kama [[Wakinga]] na [[Wapangwa]].
[[File:Church in Njombe, Tanzania.jpg|thumbnail|left|Kanisa Kuu katoliki Njombe Mjini]].
 
Wenyeji ni hasa [[Wabena]]. Lakini pia, kuna wingi wa watu wa [[makabila]] mengine kama [[Wakinga]] na [[Wapangwa]].
[[File:Church in Njombe, Tanzania.jpg|thumbnail|left|[[Kanisa Kuu]] katoliki[[kanisa Katoliki|Katoliki]] Njombe Mjini]].
 
==Usafiri==
[[Barabara]] ya [[lami]] kutoka [[Makambako]] kwenda [[Songea]] inapita mjini. <ref>{{cite web|title=Njombe Roads Network|url=http://tanroads.go.tz/uploads/documents/en/1446621691-Njombe.pdf|website=Tanroads|accessdate=14 February 2016}}</ref> Kituo cha karibu cha treni za [[TAZARA]] kipo [[Makambako]]. Pia kuna [[uwanja wa ndege]] eneo la Chaugingi. Hakuna huduma ya [[ndege za abiria]].
 
Kituo cha karibu cha [[treni]] za [[TAZARA]] kipo [[Makambako]]. Pia kuna [[uwanja wa ndege]] eneo la Chaugingi.
 
Hakuna [[huduma]] ya [[ndege za abiria]].
 
==Dini==
Njombe ni [[makao makuu]] ya [[Dayosisi ya Kusini KKKT]] ya [[Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania]] na pia ya [[Jimbo Katoliki la Njombe]] ya [[Kanisa Katoliki Tanzania]]. Kuna pia [[Kanisa|makanisa]] mengine na [[misikiti]].
 
Eneo la Yakobi katika mji wa Njombe linatunza [[jina]] la kituo cha [[Wamisionari]] WaluteriWalutheri [[Wajerumani]] waliofika hapa mnamo mwaka [[1899]]. Wakati wa [[Vita ya Majimaji]] kituo cha Yakobi kilishambuliwa na kikosi kilichoongozwa na [[chifu]] Mbeyela.<ref>[https://books.google.com/books?id=OjjKNNeu6cwC&pg=PA241&dq=njombe&hl=de&sa=X&ved=0ahUKEwiFo_n6-K7JAhVBJw8KHazRCsYQuwUIXDAH#v=onepage&q=njombe&f=false Seth I Nyagava, "Were the Bena traitors? Majimaji in Njombe..", mlango wa 7 katika "Maji Maji: Lifting the Fog of War", James Leonard Giblin, Jamie Monson BRILL, 2010; hapa uk. 247]</ref>
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
{{Kata za Wilaya ya Njombe Mjini}} {{mbegu-jio-njombe}}
==Viungo vya Nje==
{{mbegu-jio-njombe}}
 
{{Kata za Wilaya ya Njombe Mjini}} {{mbegu-jio-njombe}}
[[Jamii:Wilaya ya Njombe Mjini]]
 
[[Jamii:Mkoa wa Njombe]]