Jamhuri ya Watu wa Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
Mstari 120:
 
===Dini===
[[Dini]] ya [[Uislamu]] ina kiasi cha 97% za wananchi wote.

Waliobaki ni hasa [[Wahindu]] na [[Wakristo]],. lakiniWa Wahindu wengi walikimbia nchi au kuuawa wakati wa mapinduzi ya mwaka 1964. Wakristokwanza walikuja kwanza wakati wa utawala wa Kireno, halafu wakati wa masultani kuwepo Zanzibar na wa [[ukoloni]] wa Uingereza.
 
Kulikuwa na [[Wahindu]] pia lakini wengi wao walikimbia nchi au kuuawa wakati wa mapinduzi ya mwaka 1964.
 
Kuna [[misikiti]] 51, ambayo [[waadhini]] wake hugongana wakati wa maombi, pamoja na [[hekalu|mahekalu]] ya [[Uhindu]] sita na [[Kanisa|makanisa]] kadhaa, yakiwemo [[Kanisa Kuu]] [[Kanisa Katoliki|Katoliki]] na Kanisa Kuu la [[Anglikana]] katika [[mji]] wa [[Zanzibar Stonetown]].