Pombe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
spam
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Whisky bottles 2005.jpg|thumb|[[Chupa]] za pombe kali aina ya Whisky.]]
'''Pombe''' ni [[kinywaji]] kikali chenye [[kileokilevi]] ambacho upitilizaji wa unywaji wake hupelekea hali ya kulewa na hatimaye [[tabia]] ya [[ulevi]] inayoleta madhara mengi kwa wahusika na kwa [[jamii]].
 
Katika [[kemia]], pombe ni mwambatanisho wa viungo asilia ambapo sehemu ya hydroxyl (-OH) group imeambatanishwa na [[kaboni]].
Mstari 6:
 
== Historia ya pombe ==
Kulingana na [[wanahistoria]] [[Donald Hill]] na [[Ahmad Y Al Hassan]], utengenezaji wa pombe ulikuwa unajulikana na [[jamii]] ya [[Waislamu]] hata katika [[karne ya 18]]. [[Watu]] wa Persian Rhazes ndio wanakisiwa kama waliovumbua pombe aina ya ethanol.
 
== Matumizi ya pombe ==
Mstari 24:
Unywaji wa pombe umesababisha kusambaratika kwa [[familia]] nyingi maana watu hawasikilizani.
 
Pombe pia hufanya [[ini]] kuwa na kazi ngumu na huenda ikaleta [[ugonjwa]] yawa [[liver cirrhosis]].
 
== Viungo vya nje ==
* https://en.wikipedia.org/wiki/Alcohol
 
 
{{mbegu-utamaduni}}