Kirgizia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 71:
Kabla ya uhuru yalitokea mabadiliko katika [[uongozi]] wa [[chama cha kikomunisti]]. Viongozi wapya waliotafuta njia bila [[udikteta]] mkali walishika uongozi na [[rais]] [[Askar Akayev]] alirudishwa [[madaraka]]ni katika [[uchaguzi]] wa kwanza na wa pili.
 
Lakini uchaguzi wa mwaka [[2005]] ulionekana haukuwa huru, hivyo [[hasira]] ya wananchi ikalipuka katika [[mapinduzi]]. Uchaguzi mpya ukamteua [[mpinzani]] wa awali [[Kurmanbek Bakiyev]] aliye rais kwa sasa.
 
== Mgawanyo kiutawala ==