Kemikali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
spam
kusahihisha habari
Mstari 1:
[[File:Potassium dichromate.jpg|thumb|Orange potassium dichromate]]
'''Kemikali''' ni [[dutu]] yenye tabia za kikemia za kudumu iliyoundwa na viwango maalumu vya [[elementi za kikemia]]. Elementi hizi haziwezi kutenganishwa bila kuvunja [[muungo wa kikemia]].
'''Kemikali''' ni [[dawa]] inayosababisha [[kitu]] kubadilika ki[[kemia]].
 
Kemikali inaweza kupatikana kama
Kwa mfano, [[maji]] ni uwiano wa [[hidrojeni]] na [[oksijeni]] ikiwa yalitoka [[mtoni]] au ulifanywa katika [[maabara]].
* elementi tupu, mfano [[sulfuri]] safi kando la [[volkeno]]
* [[kampaundi]] yaani msombo, mfano [[maji]] ambayo ni maungano ya [[hidrojeni]] na [[oksijeni]]
* [[aloi]] yaani muungano wa metali mbili au metali moja na dutu nyingine
*mchanganyiko wa dutu kama [[asidi hidrokloridi]] ambayo ni [[mmumunyo]] wa HCl na maji.
 
[[Dutu]] za kikemikaliKemikali zinazopatikana [[nyumba]]ni hujumuisha maji, [[chumvi]] na [[klorini]] ([[buluu]]).
 
== Historia ya Kemikali ==
Dhana ya kemikali ilianza [[karne ya 18]] baada ya [[mwanasayansi]] [[Joseph Proust]] kuandika mengi kuhusu kemikali kama copper carbonate. Alieleza kwamba katika kemikali yoyote, mchanganyiko ule huwa na vitu sawa, kwa mfano ukichanganya [[gramu]] ya copper na gramu nyingine ya Carbonic acid, basi utapata kwamba mchanganyiko utakaotengenezwa, bado ile gramu ya copper ipo na ile ya Carbonic acid ipo, ingawa pengine ikafifia kwa kubadilika kuwa [[gesi]].
 
== Matumizi ya kemikali leo ==
Kemikali zina manufaa mengi leo kama:
* Kutengeneza dawa za kutibia [[watu]]
* Kuua [[kupe]] na vidudu vingine vinavyosumbua
* Kemikali nyingine hutumika kuosha [[nguo]] au kutengeneza [[sabuni]]
* Kuhifadhi [[chakula]] kwa [[muda]] mrefu
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
{{mbegu-kemia}}