Qatar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 68:
 
[[Mji mkuu]] wa Qatar ni '''[[Doha]]'''.
 
== Historia ==
Maeneo ya Qatar, pamoja na [[Falme za Kiarabu]] na [[Bahrain]] yalikuwa nyumbani kwa [[Kabila|makabila]] madogo na [[chifu]] zao.
 
Tangu [[mwaka]] [[1820]] walikuwa na [[Mkataba|mikataba]] na [[Uingereza]] walipoahidi kuachana na [[uharamia]] na kupokea [[ulinzi]] wa Uingereza. Ulinzi huo ulizuia [[uvamizi]] wa Saudia katika [[karne ya 20]].
 
Falme hizo zilikuwa [[nchi lindwa]] chini ya [[Uingereza]] hadi mwaka [[1971]], ambapo [[madola]] hayo madogo yalipata [[uhuru]].
 
==Siasa==
Miaka ya mwisho Qatar imejihusisha na [[siasa]] ya [[Mashariki ya Kati]] kwa kuwapa [[silaha]] [[Waislamu]] wenye [[itikadi kali]] kama vile huko [[Palestina]], [[Syria]] na [[Iraq]], na hata [[DAISH]].
 
==Watu==
Wananchi wengi wa Qatar kwa [[asili]] ni [[Waarabu]] na [[Waafrika]] ([[utumwa]] nchini ulichelewa sana kufutwa). Lakini kati ya wakazi wote, hao ni asilimia 15 tu (278,000), yaani idadi kubwa sana si Waqatari wenyewe bali ni [[wafanyakazi]] kutoka nchi mbalimbali, hasa [[India]] (zaidi ya 25%) na nchi za kandokando yake.
 
[[Kiarabu]] ni [[lugha rasmi]] ya nchi lakini [[Kiingereza]] hutumiwa mara nyingi kwa mawasiliano ya [[biashara]] na [[ofisi]]ni.
Line 80 ⟶ 87:
 
==Uchumi==
[[Uchumi]] wote wa Qatar una msingi wa mafuta ya [[petroli]] na [[gesi]] yake. Kwa [[wastani]] wakazi wake wana kipato kikubwa kuliko watu wa nchi zote [[duniani]].
 
==Tazama pia==