Jeshi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[Picha:Jeshi ya Mahdi ya Sudan.jpg|thumb|Jeshi la [[Mahdi]]
'''Jeshi''' ni jumla ya [[watu]] wanaopewa [[mamlaka]] ya kutumia nguvu ya [[silaha]] kutetea nchi kwa niaba ya [[dola]] au kutekeleza maagizo ya [[serikali]] dhidi ya maadui wa nje
[[Neno]]
==Kazi ya jeshi==
Mstari 8:
*kulinda nchi dhidi ya maadui wa nje
*kutetea nchi dhidi ya mashambulizi kutoka nje au
*
Kusudi
Katika nchi mbalimbali kuna vikosi vinavyotekeleza shughuli ndani ya taifa lakini vina silaha sawa na sehemu za jeshi na wakati mwingine vinahesabiwa kama sehemu ya jeshi. Kwa mfano vikosi vinavyolingana na [[FFU]] ya [[Tanzania]] vinaitwa [[gendarmerie]] huko [[Ufaransa]] na nchi nyingi za [[Afrika Magharibi]] au [[carabinieri]] huko [[Italia]] na kule vinahesabiwa kama mkono wa jeshi ingawa kazi yao ni ya ndani ya nchi.
Hali ya jeshi vitani husimamiwa na [[sheria ya kimataifa ya vita]] jinsi ilivyoundwa katika [[Mkataba|mikataba]] mbalimbali ya kimataifa. [[Sheria]]
* kuwa na [[sare]] rasmi inayoonekana na kuwatofautisha na
* kuwa chini ya mamlaka rasmi inayoeleweka na kuwajibika kwa serikali yao
* kubeba silaha zao wazi
*
Wanajeshi wanafuata utaratibu
==Jeshi la ardhi==
Jeshi la ardhi lina [[kituo]] ama [[kambi]] ambayo kambi hii yaweza kulinda
▲Jeshi la ardhi lina [[kituo]] ama [[kambi]] ambayo kambi hii yaweza kulinda kundi ya Jeshi, divisheni ama umma wajeshi. Kukitokea vita, Jeshi huwa wakipeleka divisheni na kundi za kijeshi kwa vipimo kulingana na vita na mbinu za kusukuma ama kushinda adui kwa [[vita]]. Na pia ratili ya vita ikiwapendukia, Jeshi hupeleka [[wanajeshi pulikiza]] ili kusukuma adui kabisa ama kumshinda adui.
== Jeshi la taifa ==
Jeshi la Taifa ni chombo kilichoanzishwa kisheria chenye silaha na askari wenye mafunzo ya kivita amabao kazi yao ni kupambana kivita kulinda ardhi ya nchi husika dhidi ya uvamizi kutoka nje. Nchi huwa na jeshi moja la kulinda mipaka yake dhidi ya uchokozi kutoka nje, lakini pia huwa na majeshi 'Usu' kadhaaa kwaajili ya kulinda usalaama wa ndani. kwa mfano; majeshi ya nchi ni kama [[Jeshi la Uganda, UPDF, Jeshi la Tanzania TPDF nk|Jeshi la Uganda UPDF, Jeshi la Tanzania TPDF nk]]. Majeshi Usu ni kama Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na TANAPA.▼
▲Jeshi la Taifa ni chombo kilichoanzishwa kisheria chenye silaha na askari wenye mafunzo ya kivita amabao kazi yao ni kupambana kivita kulinda ardhi ya nchi husika dhidi ya uvamizi kutoka nje. Nchi huwa na jeshi moja la kulinda mipaka yake dhidi ya uchokozi kutoka nje, lakini pia huwa na majeshi 'Usu' kadhaaa kwaajili ya kulinda usalaama wa ndani. kwa mfano; majeshi ya nchi ni kama [[Jeshi la Uganda, UPDF, Jeshi la Tanzania TPDF nk|Jeshi la Uganda UPDF, Jeshi la Tanzania TPDF nk]]. Majeshi Usu ni kama Polisi,Magereza,Uhamiaji, Zimamoto na TANAPA.
Shughuli nyingi za majeshi hutofautiana kulingana na kitengo husika cha jeshi, kwa mfano jeshi la nchi kavu,Jeshi la Anga na Jeshi la Majini, haya ndiyo matawi makuu matatu ya jeshi . Kwa historia, Jeshi la anga lilikuwa pamoja na Jeshi la ardhini, hasa kwa historia ya [[Uchina]] ama [[Jeshi la ukombozi wa umma wa Uchina]] ilichanganya (jeshi la ardhi, jeshi la majini, jeshi la anga, divisheni za makombora na usayari) kwa tawi moja.
Line 35 ⟶ 33:
== Shurutisho la jeshi ==
Jeshi laweza kuwa kubwa kama chama, [[chama cha Jeshi]] ([[Shurutisho la Jeshi|Shurutisho]]) ambalo lina makundi mengi zaidi ya [[askari]]. Jeshi tofauti hujigawa kulingana na utamaduni wao — hasa Marekani ([[Jeshi la kwanza la Marekani]]). Kwa [[Jeshi la Uingereza]] Jeshi kwa shurutisho ni "Jeshi la kwanza", na Marekani ni "divisheni ya kwanza".
[[
==Ona pia==
* [[Vita]]
* [[Historia ya Jeshi]]
|