Saudia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 21:
|areami² = 829,996 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|percent_water = 0.7%
|population_estimate = 3034,770218,375169<sup>1</sup><!--"OfficialThe annualtotal projection"population (PDF)- General Authority for Statistics". cdsistats.gov.sa. 2014Retrieved 31 October 2019.-->
|population_estimate_year = 20142019
|population_estimate_rank = ya 4140 <sup>2</sup>
|population_census =
|population_census_year =
|population_density = 12.315
|population_densitymi² = 3138.8 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|population_density_rank = ya 216174
|GDP_PPP_year = 2006
|GDP_PPP = $576,400 billioni <!--IMF-->
Mstari 59:
 
==Historia==
[[Jina]] la nchi limetokalimetokana kwana lile la [[familia]] ya [[watawala]], yaani [[familia]]la yamtu aliyeianzisha, [[Chifu]] [[Ibn Saud]] wa [[Riyad]]. Yeye, baada ya kuondoka kwa [[jeshi]] la [[Waturuki]] [[Waosmani]] waliotawala [[Arabia]] kwa [[karne]] kadha, alishinda [[vita]] baina ya [[Kabila|makabila]] ya Uarabuni yamwa kati akaweza kuvamia na kutawala maeneo ya [[Najd]] na [[Hejaz]] na [[mwaka]] [[1932]] alitangaza [[Ufalme wa Uarabuni wa Saudia]].
 
=== Watangulizi wa Ufalme wa Saudia ===
Kwa maelezo zaidi, Najd ilikuwa ndiyo chanzo cha harakati ya [[Wahabiya]] tangu [[karne ya 18]] walioshikamana na [[nasaba]] ya Saud<ref>[https://www.britannica.com/topic/history-of-Arabia History of Arabia], tovuti ya Encyclopedia Britannica</ref>.
 
[[Mwaka]] [[1744]] [[kiongozi]] wa kikabila [[Muhammad bin Saud]] aliungana na kiongozi wa kidini [[Muhammad ibn Abd al-Wahhab]] na umoja huo wa [[familia]] ya Saud na [[kundi]] la kidini la [[Wahabiya]] uliweka msingi kwawa [[emirati]] ya Wasaudi katika Uarabuni.
 
=== Emirati ya Diriyah ===
Muhammad bin Saud alitwalaalitawala kutoka [[mji]] wa [[Diriyah]], ambao leo ni sehemu ya [[jiji]] la [[Riyad]]. Hadi [[kifo]] chake kwenye mwaka [[1765]] aliweza kupanushakupanua utawala wake juu ya Najd na [[pwani]] laya [[mashariki]] laya Uarabuni.
 
[[Mwana|Mwanawe]] [[Abdul-Aziz bin Muhammad]] alimfuata hadi mwaka [[1803]]. [[Itikadi kali]] ya Wahabiya ilimshawishi kuangalia [[Waislamu]] [[Washia]] kama [[wazushi]] na [[Adui|maadui]] na mwaka [[1801]] [[jeshi]] lake lilingialiliingia [[Iraki]] (jimbo la Waosmani) waliopoangamiza mji wa [[Karbala]] penyewenye [[kaburi]] la [[Ali ibn Abu Talib]] na [[watakatifu]] wengine wa Washia. Walibomoa makaburi na kuua wakazi 5,000.
 
Mwandamizi wake [[Saud bin Abdul-Aziz bin Muhammad bin Saud]] aliendelea kupanua mamlaka yake na mwaka [[1805]] alivamia pia miji mitakatifu ya [[Makka]] na [[Madina]]. Wasaudia waliongeza [[ada]] ya Waislamu waliofika [[Hija|kuhiji]] wakakataza [[desturi]] nyingi zilizokuwa kawaida kama matumizi ya [[ala za muziki]], [[ukahaba]] na kunywa [[divai]]. Walijaribu pia kuboma [[kuba]] juu ya kaburi la [[Mtume Muhamad]] lakini walishindwa, wakaendelea kubomoa makaburi yaliyopambwa ya wenzake Muhamad.
Mfuasi wake [[Saud bin Abdul-Aziz bin Muhammad bin Saud]]
 
aliendelea kupanusha mamlaka yake n 1805 alivamia pia miji mitakatifu ya [[MakkaIdadi]] na [[Madina]]. Wasaudia waliongeza ada ya Waislamu waliokuja [[Hija|kuhiji]] wakakataza desturi nyingi zilizokuwa kawaida kama matumizi ya ala za muziki, ukahaba na kunywa kwa divai. Waijaribu pia kuboma kuba juu ya kaburi la Mtume Muhamad lakini walishindwa, wakaendelea kubomoa makaburi yaliyopambwa ya wenzake wa Muhamad. Idadi ya Wahiji ilipungua sana. [[Sultani]] wa Waosmani [[Mahmud II]], aliyekuwa pia na [[cheo]] cha [[khalifa]] wa Waislamu na [[mlinzi]] wa miji mitakatifu, alimtuma alitazamiwa kama mzushi na WawahabiyyaWahabiya, aliona [[aibu]] kubwa. Hivyo alimtuma [[gavana]] wa [[Misri]] [[Muhammad Ali Pasha|Muhamad Ali Pasha]] aliyerudisha Makka chini ya utawala wa Kiosmani, alimshinda Abdullah bin Saud, mwana wa Saud ninbin Abdul Aziz, na hatimaye kuteka [[mji mkuu]] wa Wasaudia, na hivyo kumaliza emirati yao ya kwanza mwaka [[1818]]. Abdullah alitumwa [[Istanbul]] alipopewa [[adhabu ya mautikifo]].
 
=== Emirati ya pili ===
Baada ya kundoka kwa jeshi la Wamisri katika Najd mwana wake Abdullah alirudi aliwezaakaweza kuteka mji wa Riyad na kuanzisha tena emirati ndogo lakini mamlaka yake haikuenea mbali, alisimamia sehemu ya Najd pekee. Hapo watawala wa Saudi walipata mashindano na machifu wa [[Waarabu]] wa jirani, na mwaka [[1891]] walipaswa kuondoka Najd na kukimbilia [[Kuwait]].
Hapa watawala wa Saudi walipata mashindano na machifu wa Waarabu wa jirani, na mwaka [[1891]] walipaswa kuondoka Najd na kukimbilia [[Kuwait]].
 
=== Emirati ya tatu ===
Lakini mwaka [[1902]] [[Abdul Aziz Ibn Saud]] alifaulu kuvamia tena Riyad na kuimarisha utawala wake huko. Wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia|Vita Kuu ya kwanzaDuniaa]] hakushiriki katika [[vita]] ya [[Waarabu]] dhidi ya Waosmani, badala yake alishindana na [[makabila]] ya Najd ambayo hawakumtambua kama mkuu.
 
Mwaka [[1921]] aliweza kujitangaza kama [[Emir]] wa Najd. Hapo alivamia [[ufalme]] wa [[Hijaz]] akaushinda na mwaka [[1926]] Ibn Saud alijitangaza kuwa mfalme wa Hijaz. Mwaka uliofuata alianza kutumia [[cheo]] cha mfalme pia kwa Najd. Baada ya kutawala sehemu hizo mbili kwa namna ya pekee alitangaza maungano ya falme zote mbili kwenye mwaka [[1932]] akaanzisha Ufalme wa Uarabuni wa Saudia<ref>[http://countrystudies.us/saudi-arabia/7.htm The Saud Family and Wahhabi Islam], Helen Chapin Metz, ed. Saudi Arabia: A Country Study. Washington: GPO for the Library of Congress, 1992</ref>.
 
==Watu==
Ukiacha wahamiaji, wenyeji ni [[Waarabu]] (90%) na [[chotara|machotara]] Waarabu-Waafrika (10%)
 
[[Lugha rasmi]] na ya kawaida ni [[Kiarabu]], lakini wahamiaji wanatumia pia [[lugha]] zao, hasa [[Kitagalog]], [[Kirohingya]], [[Kiurdu]], [[Kiarabu cha Misri]] na [[Kiindonesia]].
 
Mara nyingi Saudia inaitwa "al-haramain", yaani nchi ya mahali [[patakatifu]] pawili, kwa kumaanisha [[Mji|miji]] ya [[Makka]] na [[Madina]] ambayo ni miji mitakatifu zaidi katika [[Uislamu]]. Upande wa madhehebu, [[Wasuni]] ni 85% na [[Washia]] 15% hivi.
 
Ukweli huu unatumika kuzuia waumini wa [[dini]] nyingine zote, ambao ni [[wahamiaji]] (21-33% za wakazi wote), wasiweze kujenga [[maabadi]] wala kufanya [[ibada]] za pamoja, hata kama ni ndani ya nyumba zao, walau mpaka mwaka [[2018]].
 
[[Picha:Sa-map.png]]