Kalisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19:
}}
 
'''Kalisi''' ni [[elementi]] na [[metali ya udongo alikalini]] yenye [[namba atomia]] '''20''' kwenye [[mfumo radidia]] ina [[uzani atomia]] 40.078. [[Alama]] yake ni '''Ca'''. [[Jina]] lahusianalinahusiana na [[neno]] la [[kilatiniKilatini]] ''calx'' ([[mawe]] ya [[chokaa]]).
 
== Tabia ==
Kalisi ni kati ya elementi zinazopatiikana kwa wingi [[duniani]], ikiwa na nafasi ya [[tano]]: na [[asilimia]] 3.39 za [[ganda la dunia]] ni kalisi. Ikisafishwa hutokea kama [[metali]] laini yenye [[rangi]] ya [[nyeupe]]-[[fedha]].
 
Inamenyuka rahisi [[Kemia|kikemia]] hivyo haitokei kama elementi tupu lakini kwa [[kampaundi]] mbalimbali hasa katika mawe.
 
[[Unga]] wa kalisi au vipande vidogo vya metali huungua [[moto]] yenyewenye rangi ya [[njano]]-[[nyekundu]], unga hata bila kuwashwa kwa kumenyuka [[Hewa|hewani]] tu.
 
Kalisi ni muhimu kwa [[miili]] ya [[wanadamu]] na [[wanyama]], pia kwa [[mimea]], kwa sababu inajenga [[mifupa]] na [[meno]]. Ina pia [[kazi]] katika [[Mshipa|mishipa]].
 
== Matumizi ==
Kalisi ni muhimu sana katika [[maisha]] ya [[jamii ya kibinadamu]]. [[Ujenzi]] hutegemea sana kalisi na kampaundi zake. [[Mawe ya chokaa]] yaliwahi kutumiwa kwa ujenzi wa [[nyumba]] tangu miaka maelfu[[elfu]] kadhaa.
 
Kampaundi za kalisi ni pia [[msingi]] wa [[saruji]] na hivyo wa ujenzi wa kisasa. [[Chokaa]] ni kiungo cha lazima wakati wa kutengeneza [[feleji]].
 
Salfati ya kalisi (Ca[SO4] • 2 H2O) ni [[jasi]].