Caesi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 19:
}}
 
'''Caesi''' ni [[elementi]] na [[metali alikali]] yenye [[namba atomia]] '''55''' kwenye [[mfumo radidia]] na [[uzani atomia]] 132.9054519. [[Alama]] yake ni '''Cs'''. [[Jina]] latokanalinatokana na [[Kilatini]] "caesius" linalomaanisha inayomaanisha [[buluu]] kwa sababu ya [[mistari taswirangi]] yake iliyo upande wa buluu ya taswirangi.
 
Caesi ni [[metali]] yenye kiwango cha kuyeyuka duni sana ya 28 [[°C]], hivyo hutokea kama [[kiowevu]] kwa [[halijoto]] ya chumbani tayari.
Ni dutu inayomenyuka sana kwa hiyo haitokei kwa [[umbo]] safi kiasili bali kwa [[kampaundi]] mbalimbali. Kati ya elementi zote mmenyuko wake ni mkali baada ya [[Florini]]. Kwa sabu hiyihiyo Caesi hupaswa kutolewa katika [[maabara]] na hutunzwa ndani ya [[gesi adimu]] kama [[arigoni]].
 
Matumizi yake ni katika [[saa atomia]], vyoo kwa [[teknolojia]] ya [[inforedi]] na kwa [[injini ya ioni]] kwa [[anga la nje|anga-nje]].
 
{{mbegu-sayansi}}