Chuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19:
}}
 
'''Chuma''' ([[Sayansi|kisayansi]] pia: '''feri''' kutoka [[Kilatini]] "''ferrum''"; [[kifupi]]: '''Fe''') ni [[elementi]] na [[metali]] inayopatikana kwa wingi [[duniani]]. [[Kemia|Kikemia]] ni [[elementi mpito]] yenye [[namba atomia]] 26 katika [[mfumo radidia]].
Chuma ni kati ya metali muhimu sana duniani. Chuma ni msingi wa [[feleji]] ([[chuma cha pua]]) ambayo ni [[uti wa mgongo]] wa [[maendeleo]] ya [[Teknolojia|kiteknolojia]] ya miaka 100 iliyopita. [[Asilimia]] 95 ya [[vifaa]] vote vya metali vinavyotengenezwa duniani ni chuma.
 
Udhaifu wa chuma kwa matumizi yake ni [[tabia]] yake ya kubadilika kuwa [[kutu]].
 
 
Madini chuma ni muhimu sana katika [[mwili]] wa [[binadamu]] na [[wanyama]]. Upungufu wake ni wa kawaida sana duniani na unasababisha [[maradhi]] mbalimbali kuanzia upungufu wa [[wekundu wa damu]] na hatimaye wa [[damu]] yenyewe. Kwa mfano nchini [[Tanzania]] asilimia 58 za [[watoto]] wenye [[umri]] wa chini ya miaka mitano wana upungufu huo <ref>TDHS 2015/2016</ref>.