Magnesi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
| alama =
| namba atomia = 12
| mfululizo safu = [[Metali za udongo alikalinialkalini]]
| uzani atomia = 24,305 u
| valensi = 2, 8, 2
Mstari 19:
}}
 
'''Magnesi''' ni [[elementi]] na [[metali ya udongo alikalinialkalini]] yenye [[namba atomia]] 12 kwenye [[mfumo radidia]] ina [[uzani atomia]] 24.3050. [[Alama]] yake ni '''Mg'''. [[Jina]] lahusianalinahusiana na [[neno]] la [[kigirikiKigiriki]] μαγνησιη (magnesia - ''[[sumaku]]'') hata kama Mg haina [[tabia]] za [[Usumaku|kisumaku]].
 
Elementi tupu ina [[valensi]] mbili na [[rangi]] yake ni [[nyeupe]]-[[fedha]]. Mg ni kati ya elementi zinazopatiikana kwa wingi [[duniani]] ikiwa na nafasi ya [[nane]] na [[asilimia]] 1.4 za [[ganda la dunia]] ni magnesi.
 
Inamenyuka rahisikwa urahisi [[Kemia|kikemia]], hivyo haitokei kama elementi tupu lakini kwa [[kampaundi]] mbalimbali, hasa katika [[magnesiti]], [[dolomiti]] na [[madini]] mengine. Katika [[maji]] ya [[bahari]] iko kwa kiwango cha [[kg]] 1 kwa kila [[m³]].
 
[[Unga]] wa magnesi au vipande vidogo vya metali huungua [[moto]] mkali mweupe, unga hata bila kuwashwa [[Hewa|hewani]] tu.
 
Magnesi ni muhimu kwa [[miili]] ya [[wanadamu]] na [[wanyama]], pia kwa [[mimea]]. [[Wanamichezo]] hutumia mara nyingi [[dawa]] laya magnesi wakitaka kuboresha [[mbio]] au kuongezewa [[nguvu]].
 
==Picha==
<gallery>
Image:Magnesium-products.jpg