Molibdeni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19:
}}
 
'''Molibdeni''' (kutoka [[kigiriki]] ''molybdos'' [[metali ya risasi]]) ni [[elementi]] na [[metali ya mpito]] yenye [[namba atomia]] 42 katika [[mfumo radidia]]. [[Uzani atomia]] ni 95.94. [[Rangi]] ya metali tupu ni [[nyeupe]]-[[Fedha|kifedha]].
Ni [[metali]] imara na ngumu na [[kiwango cha kuyeyuka]] ni juu sana. Kwa sababu hiyo hutumiwa katika [[aloi]] za [[feleji]] inayotakiwa kuwa na nguvu sana.
[[Picha:Molybdaen 1.jpg|thumb|left|Punje za Molibdeni tupu.]]
 
{{mbegu-kemia}}
Mstari 28:
[[Jamii:Elementi]]
[[Jamii:Metali]]
[[Jamii:Metali yaza mpito]]