Zinki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 19:
}}
'''Zinki'''
Katika [[mazingira]] ya kawaida ni [[metali]] yenye [[rangi]] ya [[buluu]]-[[nyeupe]]. Kiwango chake cha kuyeyuka ni 1,180 [[C°]].
Hupatikana ndani ya [[madini]], haitokei kiasili kama elementi tupu. Huchimbwa hasa [[China]], [[Peru]], [[Australia]], [[Kanada]], [[Marekani]], [[Meksiko]] na [[Afrika Kusini]].
[[Picha:Torun kosciol garn dach.jpg|thumb|left|150px|Mabati ya paa huhitaji zinki.]]
Matumizi ya zinki ni takriban [[tani]] [[milioni]] 11 (kwa [[mwaka]]
{{mbegu-kemia}}
|