Jasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Jasi''' (ing.''gypsum'') ni madini yanayoptikana mahali pengi ambayo kikemia ni [[sulfati]] ya kalsi . [[Fomula]] yake ni CaSO<sub>4</sub>·2H<sub>2</sub>O. Ni madini laini sana yakiwa na ugumu wa 2 kwenye [[skeli ya Mohs]]. Inaweza kukwaruzwa kwa [[kucha]].
 
Kiasili inapatikana mara nyingi kama fuwele; jasi safi haina rangi lakini ikichanganywa na madini mengine kuna fuwele za rangi kadhaa. Kwa matumizi ya kibinadamu huchomwa ikipatikana baadaye kama unga nyeupe. Unga wa jasi unaweza kuchanganywa na maji ukipokea umbo lolote baada ya kukauka tena.
 
Jasi hutumiwaimetumiwa tangu kale katika ujenzi tangu kale, hasa katikakwenye [[lipu]]. Katika ujenzi wa kisasa bao za jasi na matofali ya jasi hutumiwa kujenga kuta za ndani zisizobeba mzigo. Kuta hizi za jasi huzuia au kuchelewesha moto ndani ya nyumba<ref>[https://www.usgs.gov/centers/nmic/gypsum-statistics-and-information Hutumwahttps://www.usgs.gov/centers/nmic/gypsum-statistics-and-information], tovuti ya National Minerals Information Center, Marekani</ref>. Hutumiwa pia kama dawa la kilimo na chalki ya ubao shuleni. Wasanii hutumia jasi kwa sanamu.
 
==Picha==
<gallery widths="165" heights="130" caption="Maumbo tofauti ya jasi asilia">
File:Gypsum-71006.jpg|Fuwele za jasi kutoka [[Australia]] - rangi inatokana na ioni za [[shaba]].
File:Gypsum-162462.jpg|Unusual selenite gypsum from the [[Red River of the North|Red River]], Winnipeg, Manitoba, Canada
File:Gypsum-47190.jpg|Classic "ram's horn" gypsum from [[Santa Eulalia, Chihuahua]], Mexico, 7.5×4.3×3.8&nbsp;cm
File:Roses des Sables Tunisie.jpg|[[Desert rose (crystal)|Desert rose]], 47&nbsp;cm long
File:Gypsum-53691.jpg|Gypsum from Pernatty Lagoon, Mt Gunson, Stuart Shelf area, Andamooka Ranges - Lake Torrens area, South Australia, Australia
File:Copper-Gypsum-203925.jpg|Gypsum with crystalline [[native copper]] inside
File:Gypsum J1.jpg|Gypsum from Swan Hill, Victoria, Australia. The colouring is due to the copper oxide
File:Gypsum-21996.jpg|Waterclear twined crystal of the form known as "Roman sword". Fuentes de Ebro, Zaragoza (Spain)
File:Botryogen-Gypsum-199664.jpg|Bright, cherry-red gypsum crystals 2.5&nbsp;cm in height colored by rich inclusions of the rare mineral [[botryogen]]
File:Gypse Naica.jpg|Gypsum from Naica, Mun. de Saucillo, Chihuahua, Mexico
File:Gypsum-251118.jpg|Golden color gem, "fishtail"-twinned crystals of gypsum sitting atop a "ball" of gypsum which is composed of several single bladed crystals
</gallery>
 
==Marejeo==
<references/>
 
==Viungo vya Nje==
{{Commons}}
*[http://webmineral.com/data/Gypsum.shtml WebMineral data]
*[https://web.archive.org/web/20070814041825/http://mineral.galleries.com/minerals/sulfates/gypsum/gypsum.htm Mineral galleries – gypsum]
*[https://www.cdc.gov/niosh/npg/npgd0308.html CDC – NIOSH Pocket Guide to Chemical Hazards]
*{{Cite EB1911|wstitle=Gypsum|short=x}}
*{{Cite AmCyc|wstitle=Gypsum|short=x}}
 
[[Jamii:Madini]]