Jamhuri ya Watu wa China : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Jamhuri ya Watu wa China" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 22:
|area_magnitude = 1 E12
|percent_water = 0.28<sup>2</sup>
|population_estimate = 1,376400,049000,000<sup>4</sup> <!--UN WPP-->
|population_estimate_year = 2015Januari 2020
|population_estimate_rank = ya 1
|population_census = 1,339,724,852
Mstari 138:
 
== Watu ==
China ikiwa na wakazi milioni 1,376400 (Januari 2020) ni nchi yenye watu wengi zaidi duniani. [[Historia]] yake yote iliona tena na tena vipindi vya [[njaa]] kutokana na idadi kubwa ya watu wake. [[Msongamano]] wa watu kwa [[wastani]] ni wakazi 145 kwa [[kilomita ya mraba]]. Lakini tofauti ziko kubwa kati ya miji mikubwa ambako milioni 115 wanakaa kwenye eneo la [[km²]] 50,000 na Tibet yenye watu 2 tu kwa kilomita ya mraba.
 
Zaidi ya [[asilimia]] 90 za wakazi wote wanakaa katika [[theluthi]] ya kusini-mashariki ya nchi yenye mvua ya kutosha. Ndani ya [[theluthi]] hiyo ni nusu ya Wachina wote wanaosongamana kwenye asilimia 10 za China yote, maana yake katika 10% hizi kuna msongamano wa watu 740 kwa km².