Muungo metali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Image:Metallic bond Cu.svg|thumb|right|200px|Muungo au mbabadi metali hupatikana katika metali kama [[kupri]] kutokana na kani kati ya elektroni huria yenye chaji ya hasi na viini vya atomi vyenye chaji ya chanja.]]
 
'''Muungo metali''' (pia: '''mbabadi metali''', ''[[:en:metallic bonding]]'') ni namna jinsi [[atomi]] za [[metali]] zinavyoshikana. [[Kani]] hii yatokana na [[elektroni]] huria zinazotembea kati ya atomi na kuvutwa na [[ioni]] za [[kiini]].
 
Kwa metali elektroni za [[mzingo elektroni]] wa nje hazishikwahazishikwi sana na kiini, hivyo ni rahisi kuachana na atomi asilia na kuzunguka katika metali yote. Viini vya atomi vyenye [[chaji]] ya chanjachanya vinajipanga katika mfumo maalumu unaofanana na [[fuwele]]. Elektroni zazungukazinazunguka katika mfumo huuhuo kama [[wingu]].
 
Halii hii ya kuwa na elektroni huria yaeleza tabia za metali kama vile kuwa wayaikaji, kung'aa na kupitisha joto pia umeme kirahisi. Elektroni huria zapitisha nichati kama joto au umeme haraka na nyepesi ndani ya metali - tofauti na dutu ambako kila elektroni yashikwa imara katika atomi yake.
 
HaliiHali hiihiyo ya kuwa na elektroni huria yaeleza [[tabia]] za metali kama vile kuwa wayaikaji, kung'aa na kupitisha [[joto]] piana [[umeme]] kwa kirahisiurahisi. Elektroni huria zapitishazinapitisha nichati[[nishati]] kama joto au umeme haraka na nyepesiwepesi ndani ya metali - tofauti na [[dutu]] ambakoambamo kila elektroni yashikwa imara katika atomi yake.
{{mbegu-kemia}}
[[Category:Kemia]]
[[Category:Metali]]