Turkmenistan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 75:
 
== Historia ==
Turkmenistan ilitwaliwa na [[Urusi]] tangu mwisho wa [[karne ya 19]] ikaingia hivyo katika [[Umoja wa Kisovyeti]] baada ya [[mwaka]] [[1917]] na kuwa jamhuri ndani yake kwa jina la [[Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiturkmeni]] hadi mwaka [[1991]].
 
Wakati wa kuporomokakusambaratika kwa Umoja wa Kisovyeti, [[kiongozi]] wa [[chama cha kikomunisti]] [[Saparmirat Niyasov]] akaendelea kushika uongozi akitawala kama [[rais]] hadi [[kifo]] chake mwaka [[2006]].
Hadi mwaka [[1991]] ilikuwa [[jamhuri]] ya [[Umoja wa Kisovyet]] kwa jina la [[Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiturkmeni]].
 
Niyasov alibadilisha [[utawala]] wa chama cha kikomunisti kuwa [[udikteta]] wake mwenyewe. Akaanza kutumia jina la "Turkmenbashi" ([[Baba]] wa TurkmeniWaturkmeni wote) na [[sanamu]] zake zikasimamishwa kote nchiniː mara nyingi zilikuwa sanamu za [[dhahabu]] hata kama wananchi walikuwa na [[maisha]] magumu.
Wakati wa kuporomoka kwa Umoja wa Kisovyeti kiongozi wa [[chama cha kikomunisti]] [[Saparmirat Niyasov]] akaendelea kushika uongozi akitawala kama [[rais]] hadi [[kifo]] chake mwaka [[2006]].
 
Mapato kutoka [[gesi]] na [[mafuta]] ya [[petroli]] zilimwezeshayalimwezesha kuendesha [[uchumi]] wa nchi kwa [[hiari]] yake bila mabadiliko makubwa jinsi ilivyokuwa kawaida wakati wa anguko la [[ukomunisti]] penginepokwingineko.
Niyasov alibadilisha utawala wa chama cha kikomunisti kuwa [[udikteta]] wake mwenyewe. Akaanza kutumia jina la "Turkmenbashi" (Baba wa Turkmeni wote) na [[sanamu]] zake zikasimamishwa kote nchiniː mara nyingi sanamu za [[dhahabu]] hata kama wananchi walikuwa na [[maisha]] magumu.
 
Zaidi ya [[nusu]] ya wananchi walikuwa hawana [[ajira]] na kuishi maisha ya [[umaskini]], lakini wanapewa [[chumvi]], [[umeme]] na [[maji]] bure. [[Mkate]] na petroli zinauzwa kwa [[bei]] ya chini sana, lakini kuna uhaba wa mara kwa mara.
Mapato kutoka [[gesi]] na mafuta ya [[petroli]] zilimwezesha kuendesha [[uchumi]] wa nchi kwa [[hiari]] yake bila mabadiliko makubwa jinsi ilivyokuwa kawaida wakati wa anguko la ukomunisti penginepo.
 
Baada ya kifo cha Niyasov kamati ya viongozi ilimteua [[makamu]] wa [[waziri mkuu]] [[Gurbanguly Berdimuhammedov]] kuwa rais mpya ingawa kikatibakadiri ya [[katiba]] [[mwenyekiti]] wa [[bunge]] alitakiwa kuchukua nafasi hiihiyo.
Zaidi ya nusu ya wananchi hawana [[ajira]] na kuishi maisha ya [[umaskini]], lakini wanapewa [[chumvi]], [[umeme]] na [[maji]] bure. [[Mkate]] na petroli zinauzwa kwa bei ya chini sana, lakini kuna uhaba wa mara kwa mara.
 
Mwenyekiti wa bunge alishtakiwa [[mahakama]]ni juu ya makosa fulani na Berdimuhammedov alithibitishwa katika [[uchaguzi]] wa [[tarehe]] [[11 Februari]] [[2007]] kwa 89[[%]] za [[kura]]. Watazamaji walidai kura ilikuwa ya uwongo.
Baada ya kifo cha Niyasov kamati ya viongozi ilimteua makamu wa [[waziri mkuu]] [[Gurbanguly Berdimuhammedov]] kuwa rais mpya ingawa kikatiba mwenyekiti wa bunge alitakiwa kuchukua nafasi hii.
 
Mwaka [[2013]] kwa mara ya kwanza ulifanyika uchaguzi wa [[vyama vingi]].
Mwenyekiti wa bunge alishtakiwa [[mahakama]]ni juu ya makosa fulani na Berdimuhammedov alithibitishwa katika [[uchaguzi]] wa tarehe [[11 Februari]] [[2007]] kwa 89% za [[kura]]. Watazamaji walidai kura ilikuwa ya uwongo.
 
Mwaka 2013 kwa mara ya kwanza ulifanyika uchaguzi wa vyama vingi.
 
==Watu==