Ufilipino : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 82:
 
==Historia==
[[Wanegritos]] ni kati ya wakazi asilia ya visiwa[[funguvisiwa]] hivyohilo, wakifuatwa na [[Waaustronesia]].
 
Baadaye kukawa na athira ya [[Wachina]], [[Wamalay]], [[Wahindi]] na [[Wamori]].
 
[[Hispania]] ilitwalailitawala eneo hilo tangu [[mwaka]] [[1565]] hadi [[Mapinduzi ya Ufilipino waya 1896]], ikiacha athari kubwa upande wa [[dini]] na [[utamaduni]].
 
[[Marekani]] ilitwaa visiwa hivyo mwaka [[1898]] katika [[Vita ya Marekani dhidi Hispania]] na kuvitawala kama [[koloni]] hadi [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] wakati [[Japani]] ilipotwaa nchi kwa miaka minne.