Google My Business : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Moud kilale (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni Tag: Rollback |
spam |
||
Mstari 1:
'''Google My Business''' ni [[huduma]] ya [[Mtandao|mtandaoni]] kwa [[mmiliki|wamiliki]] wa [[kampuni]] za [[biashara]] inayoendeshwa na [[Google]]. Huduma hiyo ilizinduliwa mnamo [[Juni]] [[2014]]<ref>{{Cite web|url=https://www.postbulletin.com/marketing/a-brief-history-of-google-my-business/article_a8233a88-81f7-11e7-9bd9-f75e295737ab.html|title=A Brief History of Google My Business|last=Consultant|first=Ron Hanson, Post Bulletin Senior Media|website=PostBulletin.com|language=en|access-date=2019-02-06}}</ref> kama njia ya kuwapa wamiliki wa kampuni za biashara uwezo zaidi wa kuamua habari gani zionekane pale pale mtu anapotafuta jina fulani la biashara kwenye tovuti ya utafutaji ya Google. Huduma hii inawawezesha watu kuthibitisha taarifa za biashara zao kama vile jina, anuani, n.k.
Maelezo ambayo hutokeza kwenye tovuti ya Google kutokana na huduma hii ni pamoja na saa za kufunguliwa kwa biashara, anuani, simu, na picha.<ref>{{cite web |title=Edit your business listing on Google |url=https://support.google.com/business/answer/3039617 |website=support.google.com |accessdate=2019-03-02}}</ref> Google may combine the information provided by businesses with information from other sources, including a business's own website, Google user contributions, and third party websites.<ref>{{cite web |url=https://support.google.com/business/answer/2721884 |title=How Google uses business information |website=support.google.com |accessdate=2019-03-02}}</ref> Huduma hii hutolewa bure.<ref>{{cite web |title=FAQs |url=https://www.google.com/business/resources/ |accessdate=2019-03-02}}</ref>
|