Uthai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 59:
 
==Historia==
Uthai ilikuwa nchi pekee ya [[Asia Kusini Mashariki]] iliyofaulu kukwepa [[ukoloni]].
 
Nchi iliitwa rasmi '''Siam''' (สยาม) hadi mwaka [[1939]], tena kati ya [[1945]] na [[1949]].
 
[[Neno]] ''Thai'' (ไทย) linamaanisha "uhuru" kwa [[Kithai]] ni pia [[jina]] la [[kundi]] kubwa la [[watu]] nchini ambao ni [[Wathai]] (75-85[[%]]), mbali na Wathai-Wachina (12%).
 
Tangu [[tarehe]] [[19 Septemba]] [[2006]] nchi imetawaliwa na kamati ya [[jeshi]]. Jeshi [[Mapinduzi|ilipindua]] [[serikali]] ya [[waziri mkuu]] [[Thaksin Shinawatra]] bila kumwaga [[damu]]. Viongozi wa kijeshi walipatana na [[mfalme]] kwamba wataandaa [[uchaguzi]] mpya.
 
Lakini hata baada ya chaguzi huru kadhaa nchi haijatulia kisiasa.
 
==Watu==