Mumia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Removing Ramesses_II_mummy_in_profile_(colored_picture).jpg, it has been deleted from Commons by Yann because: per c:COM:SPEEDY.
Mstari 1:
[[Picha:Ramesses II mummy in profile (colored picture).jpg|thumb|300px|Mumia wa Farao [[Ramses II]] (1303 - 1213 KK).]]
'''Mumia''' (kutoka [[Kiarabu]] مومياء ''mumia''; pia: '''mumiani'''; kwa [[Kiingereza]]: ''mummy'') ni [[maiti]] wa [[binadamu]] au [[mzoga]] wa [[mnyama]] iliyokauka bila kuoza. Hali hiyo inaweza kutokea kiasili katika [[mazingira]] maalumu au kwa kutumia mbinu fulani. Mchakato wa kuoza huzuiwa na [[baridi]] kali, katika mazingira [[yabisi]] (pasipo na [[unyevu]] [[Hewa|hewani]]) na mwendo wa hewa, kwa kukosa [[oksijeni]] au kwa kutumia [[kemikali]] fulani.