Uzbekistan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 19:
|area = 448,978
|percent_water = 4.9
|population_estimate = 3132,025768,500725
|population_estimate_rank = ya 41
|population_estimate_year = Julai 20152019
|population_census =
|population_census_year =
|population_density = 6174.41
|population_densitymi² = 159191.19 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|population_density_rank = ya 136132
|GDP_PPP = $50.395 billion <!--IMF-->
|GDP_PPP_rank = ya 74
Mstari 53:
}}
[[File:Tajiks of Uzbekistan.PNG|thumb|right|270px]]
'''Uzbekistan''' ni nchi[[jamhuri]] ya [[Asia ya Kati]].
 
Imepakana na [[Afghanistan]], [[Kazakhstan]], [[Kyrgyzstan]], [[Tajikistan]] na [[Turkmenistan]].
Mstari 59:
[[Mji mkuu]] na pia mji mkubwa ni [[Tashkent]].
 
[[Picha:Samarkand-25.JPG|thumb|right|[[Madrasa]] ya "Sherdor" mjini Samarkand]]
 
== Historia ==
Uzbekistan ni nchi yenye [[historia]] ndefu. [[Ferghana]], [[Tashkent]], [[Bukhara]], [[Khwarezm]] na [[Samarkand]] zilikuwa vitovu vya [[utamaduni]] wa [[binadamu]] tangu [[milenia ya 2 KK]].
 
Katika [[karne]] kabla na baada ya [[Kristo]] eneo lilijulikana kama Sogdiana na Baktria. Miji yake ilikuwa na [[utajiri]] kutokana na [[biashara]] ya misafara kwenye [[barabara ya hariri]] kati ya [[China]] na [[Mashariki ya Kati]].
Mstari 70:
Kuanzia uenezi wa [[Uislamu]] watu ba Uzbekistan waligeukia [[dini]] hiyo mpya.
 
Katika [[karne ya 14]] [[jemadari]] [[Timur]] alijenga milki kubwa na kuharibu nchi za [[magharibi]] hadi [[Uturuki]]. Alipamba mji mkuu wake [[Samarkand]] kwa [[jengo|majengo]] mazuri.
 
Baada ya [[Timur]] milki yake iliporomoka na Uzbekistan ilitawaliwa na ma[[dola]] mbalimbali ya kieneo yaliyokuwa hasa eneo la mji muhimu.
Mstari 77:
 
Baada ya mapinduzi ya Urusi ya mwaka [[1917]] Uzbekistan ikawa sehemu ya [[Umoja wa Kisovyeti]] hadi kuporomoka kwake mwaka [[1991]]. Ilijulikana kwa jina la "[[Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiuzbeki]]" hadi 1991.
 
Tarehe [[31 Agosti]] 1991 ilijitangaza huru na kudai kufuata [[demokrasia]] na kuelekea [[soko huria]], lakini hadi sasa [[haki za binadamu]] haziheshimiwi sana.
 
==Watu==
Kuna wakazi 3132,025768,500725 ([[20152019]]).
 
Walio wengi (zaidi ya 7083%) hutumia [[lugha]] ya [[Kiuzbeki]] ambacho ni kati ya [[lugha za Kiturki]] na ndiyo [[lugha rasmi]]. Angalia pia [[orodha ya lugha za Uzbekistan]].
 
Kuna makundi mengi vidogo zaidi vya [[utamaduni]] tofauti kama vile [[WarusiWatajiki]] (5,54.8%), [[WatajikiWakazakhi]] (2.5,1%), [[WakazakhiWarusi]] (4,2.3%), [[WatartariWakarakalpaki]] (2.2%), [[WakarakalpakiWatartari]] (21.5%), [[Wakorea]] (1,1%) na mengine.
 
Upande wa [[dini]], zaidi ya 7988.6% ni [[Waislamu]], lakini wengi wao hawana [[madhehebu]] maalumu; [[Wasuni]] ni 18% na [[Washia]] 1%. [[Wakristo]] ni 9.4%, wengi wakiwa Warusi [[Waorthodoksi]]; [[Waprotestanti]] na [[Wakatoliki]] hawafikii 3%. Pamoja na hayo, [[serikali]] [[dhuluma|inawadhulumu]].
 
==Tazama pia==