Yemen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 17:
|area_rank = 50
|area_magnitude = 1 E8
|area = 528527,076970
|areami² = 203,796850 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|percent_water = ''kidogo sana''
|population_estimate = 2528,408498,000683
|population_estimate_year = Julai 20132018
|population_estimate_rank = 48
|population_census = 19,685,000
|population_census_year = 2004
|population_density = 44.7
|population_densitymi² = 115.78 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|population_density_rank = 160
|GDP_PPP_year = 2005
Mstari 62:
 
==Historia==
Hadi mwaka [[1990]] palikuwa na nchi mbili za Yemen ya Kaskazini na Yemen ya Kusini zilizoungana tarehe [[22 Mei]] [[1990]].
 
Ile ya [[kaskazini]] ilikuwa [[Ufalme wa Yemen]] baada ya [[Imamu Yahya Muhamad]] wa kundi la [[Zaidiya]] kuvamia [[Wilaya|velayat]] ya Yemen ya milki ya [[Waturuki]] [[Waosmani]] ([[1 Novemba]] [[1918]]). Baadaye ikawa [[Jamhuri]] kwa njia ya [[mapinduzi]] ([[1962]]).
 
Ile ya [[kusini]] ilikuwa sehemu [[koloni]] ([[Aden]]) na sehemu [[nchi lindwa]] ([[Hadramaut]]) ya [[Waingereza]]. Baada ya [[ukoloni]] kwisha ikawa mara moja Jamhuri ([[30 Novemba]] [[1967]]).
 
Nchi hizo mbili ziliungana tarehe [[22 Mei]] [[1990]], lakini [[uongozi]] ulizidisha [[ufisadi]], na tangu mwaka [[2011]] hali ya [[siasa]] ni tata. [[Vita vya wenyewe kwa wenyewe]] vinaendelea kwa misaada kutoka nchi za nje, hasa kutokana na uwepo wa makundi makubwa ya [[Wasuni]] na [[Washia]].
 
==Watu==