Furukombe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 30 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q147403 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 15:
''[[Ichthyophaga]]'' <small>[[René-Primevère Lesson|Lesson]], 1843</small>
}}
'''Furukombe''', '''fukombe''', '''kwazi''', '''yowe''' au '''tai mlasamaki''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] mbuambuai wa [[nusufamilia]] [[Haliaeetinae]] katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Accipitridae]].

Ndege hawahao ni baina ya [[tai]] wakubwa kabisa. [[Uzito]] wao unatofautiana kutoka [[kg]] 2 (furukombe wa Sanford) mpaka 9 (furukombe wa Steller).

[[Unyoya|Manyoya]] yao yana [[rangi]] ya [[kahawakahawia]] mpaka [[nyeusi]] lakini [[kichwa]], [[mkia]], [[kidari]] na [[tumbo]] ni [[nyeupe]] kufuatana na [[spishi]]. [[Furukombe wa Madagaska]], wa Sanford na wa [[Ulaya]] wana kichwa [[hudhurungi]].

[[Spishi]] zote zinatokea karibu na [[maji]] ama [[baridi]] auama ya [[bahari]]. Hula [[samaki]] hasa lakini ndege wengine, [[mzoga|mizoga]] na mara kwa mara [[mnyama|wanyama]] wadogo pia.

Hujenga tago lao kwa vijiti juu ya [[mti]] au [[mwamba]]. Jike hutaga [[yai|mayai]] 1-3.
 
==Spishi za Afrika==