Brunei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 20:
|areami² = 2,226 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|percent_water = 8.6
|population_estimate = 415442,7170400
|population_estimate_rank = ya 175168
|population_estimate_year = 20132018
|population_census = 332,844
|population_census_year = 2001
|population_density = 6772.311
|population_densitymi² = 174186.48 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|population_density_rank = ya 134
|GDP_PPP = $9.009 billion <!--http://www.imf.org/external/pubs/ft/weo/2006/01/data/dbcoutm.cfm?SD=2005&ED=2007&R1=1&R2=1&CS=3&SS=2&OS=C&DD=0&OUT=1&C=516&S=PPPWGT-PPPPC&RequestTimeout=120&CMP=0&x=99&y=10-->
Mstari 52:
}}
 
'''Brunei''' ([[jina]] rasmi]] niː<big> برني دار السلام </big>, Negara Brunei Darussalaam, yaaniː Taifa la Brunei, Nyumba ya Amani) ni [[usultani]] mdogo na [[nchi huru]] kwenye[[kaskazini]] mwa [[kisiwa]] cha [[Borneo]] yahuko [[Asia]] ya [[Kusini]]-Magharibi[[Mashariki]].
 
Imepakana na [[majimbo]] ya [[Sarawak]] na [[Sabah]] ya [[Malaysia]] tu, ingawa sehemu kubwa ya kisiwa hicho inatawaliwa na [[Indonesia]].
 
[[Mji mkuu]] ni [[Bandar Seri Begawan]].
 
[[Mtawala]] wa nchi ni [[sultani]] [[Hassan al-Bolkiah]]. Anasemekana nikuwa kati ya watu [[tajiri]] zaidi [[duniani]] kutokana na mapato ya [[mafuta ya petroli]].
 
==Historia==
[[Dola]] la Brunei lilistawi miaka [[1368]]–[[1888]] likienea katika sehemu kubwa ya Borneo na hata visiwa vingine. Lilipokea [[Uislamu]] katika [[karne ya 15]].
Baada ya kunyang'anywa maeneo mengi na [[Wazungu]] ([[Wahispania]], [[Waholanzi]] na [[Waingereza]]), mwaka [[1888]] sultani aliomba [[ulinzi]] wa [[Uingereza]] ambao uliendelea hadi [[uhuru]] wa mwaka [[1984]].
 
==Watu==
Wakazi wengi (66.3[[%]]) ni wa jamii ya [[Wamalay]], 11.210% ni [[Wachina]], 3.4% ni [[Waborneo asili]], 2.3% ni [[Wahindi]], 16.8% wana asili tofauti.
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kimalay]], lakini [[Kiingereza]] pia kinatambuliwa na [[katiba ya nchi]].
 
[[Dini rasmi]] ni [[Uislamu]] wa [[madhehebu]] ya [[Sunni]] ambayo inafuatwa na [[thuluthi]] [[mbili]] za wakazi, lakini wakazi wengine wanafuata [[dini]] za [[Ubuddha]] (13%), [[Ukristo]] (10%) na [[dini za jadi]] (2%). [[Asilimia]] 7 hawana dini maalumu.
== Tazama pia==