Mchezo wa video : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Attention_span.jpg|right|thumb|350px| Mtoto akicheza kwa kutumia kiweko video .]]
'''Michezo ya video''' ni [[Mchezo|michezo elektroniki]] inayochezwa kwenye [[skrini]] inayoweza kupatikakupatikana kwenye [[runinga]], [[kompyuta]] au [[kifaa]] kingine.
 
Kuna aina nyingi za michezo hii: michezo ya kuiga majukumu mbalimbali, ya kupiga [[bunduki]], ya kuendesha mbio wa [[magari]] na mengine mengi mengine.
 
Michezo ya video kwa kawaida hupatikana kwa njia ya [[diski]] au upakuaji wa [[dijiti]]. Kifaa maalum kinachotumiwa kucheza mchezo wa [[video]] [[Nyumba|nyumbani]] huitwa [[kiweko video]]. Kulikuwa na aina nyingi za viweko video na kompyuta zilizotumika kucheza michezo ya video. Kati ya zile za kwanza zilikuwa Atari 2600, Sega Master na Nintendo kwenye [[miaka ya 1980]]. Kiweko video kulichouzwa zaidi [[dunani]] ni PlayStation 2 iliyotengenezwa na [[Sony]] .
 
[[Picha:ArcadeGames.jpg|thumb|220x220px| Mchezo wa video Arcade .]]
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
 
 
==Viungo vya Nje==
Line 33 ⟶ 32:
 
[[Category:Michezo| ]]
 
[[Jamii:Michezo ya kompyuta]]