Elimu madini : Tofauti kati ya masahihisho

116 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[Picha:Mineralogy between its other sciences around.png|300px|thumb|Elimu madini inaunganisha kemia, fizikia, elimu maunzi na jiolojia.]]
'''Elimu madini''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: ''mineralogy)'' ni ni [[tawi]] la [[jiolojia]] linalochunguza [[kemia]], [[muundo]] na [[tabia]] za [[madini]].
 
[[Madini]] ni vitu ambavyo huunda [[Mwamba (jiolojia)|miamba]]. Kuna aina nyingi tofauti za [[madini]]. Baadhi ni ngumu, kama [[almasi]] . Baadhi ni laini, kama [[jasi]]. Baadhi ni ya [[metali]], kama [[dhahabu]] au [[chuma]].
 
[[Madini]] hupangwa katika vikundi maalum kulingana na [[kemikali]] ndani zaoyake, au kulimgana kulingana na muundo za [[fuwele]] ndani yaoyake.
 
[[Uchunguzi]] wa madini unaleta habari nyingi kuhusu miamba na [[historia]] ya [[Dunia]]. [[Elimu]] hiihiyo inasaidia pia kuelewa nafasi kwa matumizi ya madini tofauti, na kuongoza [[utafiti]] kwa kupata madini mbadala au kutengeneza madini kwenye [[maabara]] kwa matumizi katika [[teknolojia]].
 
Wakati mwingine sura au [[umbo]] la madini inaonyeshavinaonyesha jinsi ilivyoundwayalivyoundwa. Kwa mfano, madini katika [[miamba ya mgando]] ''(igneous rock)'' yanasaidia kujua ni [[umri]] wa mwamba tangu kuganda (kubadilika kutoka kwa [[lava]] kuwa mwamba). Madini makubwa yanamaanisha mwamba uliopozwa polepole (labda chini ya [[ardhi]]). Madini madogo humaanisha kuwa mwamba ulipozwa haraka (labda juu ya ardhi, kama kutoka kwa [[volkeno]]). Aina yaza madini katika mwamba pia zinaweza kuonyesha ni mwamba wa aina gani, au kile kilichotokea kwa mwamba tangu kuundwa. Miamba mingi hupewa [[jina]] kulingana na aina ya madini iliyo nayoiliyonayo.
 
[[Wataalamu]] wa elimu madini huangalia madini katika miamba kwa kutumia [[lenzi]] za [[Mkono|mkononi]], na kwa undani zaidi wakikata mabapa membamba na kuyachungulia chini ya [[hadubini]]. Huangalia umbo na ukubwa wa fuwele, na [[rangi]] ya madini. Maelezo hayahayo yanasaidia kujua ni madini gani yanayoangaliwa.
 
Madini hutumika katika mambo mengi tofauti, kama mapambo ya vito, kilimo, ufinyanzi, kutengeneza metali na mengine.
 
Madini hutumika katika mambo mengi tofauti, kama mapambo ya [[vito]], [[kilimo]], [[ufinyanzi]], kutengeneza metali na mengine.
 
== Tovuti za Nje ==
 
* [http://www.ima-mineralogy.org/ International Mineralogical Association]
* [http://mineralogicalassociation.ca/ Mineralogical Association of Canada]
* [http://giantcrystals.strahlen.org/The Giant Crystal Project]
* [http://www.geosociety.org/The Geological Society of America]
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Jiolojia]]