Tofauti kati ya marekesbisho "Lava"

303 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
<sup>Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia [[lava (volkeno)]]</sup>
[[File:Papilio xuthus Larva 2011-10-15.jpg|thumb|250px|Lava wa [[kipepeo]] ''[[Papilio xuthus]]''.]]
'''Lava''' (kutoka neno la [[Kiingereza]] [[w:larva|larva]] ambalo lina [[asili]] ya [[Kilatini]]; pia '''bombwe''') ni [[mtoto]] wa [[mdudu]] au wa mmojawapo wa [[invertebrata]], [[amfibia]] au [[samaki]] katika hatua za awali za ukuaji wake.
 
Lava wa wadudu kadhaa wana majina ya pekee:
*[[jana]] ni lava wa [[nyuki]]
* [[buu]] na [[funza]] ni lava wa [[nzi]]
* [[kiwavi]] ni lava wa [[kipepeo]]
* [[tunutu]] ni lava wa [[nzige]]
 
Kuna pia [[amfibia]] wanaopita hali ya lava. [[Kiluwiluwi]] ni lava wa [[chura]].
 
 
== Tanbihi ==