Nondo (mdudu) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Nyongeza picha |
Sahihisho |
||
Mstari 22:
==Utangulizi==
Kama ilivyo kwa vipepeo mzunguko wa maisha wa nondo huwa na sehemu nne: [[yai]], [[kiwavi]] ([[lava]]), [[bundo]] na [[
Takriban nondo wapevu wote hawali, lakina kadhaa hula [[mbochi]]. Viwavi vya spishi nyingi vinakula [[mmea|mimea]] ya mazao. Kwa kawaida wakulima hutumia [[Dawa ya Kikemikali|dawa za kikemikali]] kuua viwavi hivi. Lakini siku hizi vimekuwa sugu dhidi ya dawa hizi. Kwa hivyo ni bora kutumia [[dawa za kibiolojia]], kama [[Bacillus thuringiensis|''Bt'']] au virusi au [[Kuvu Kiuawadudu|kuvu viuawadudu]].
|