Kipepeo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Badiliko la jamii
Masahihisho
Mstari 17:
* [[Papilionoidea]]
}}
'''Vipepeo''' ni [[ndumilimdumili|wadumili]] (hali ya mwisho ya [[metamofosisi]]) zawa [[wadudu]] wa [[oda]] ya [[Lepidoptera]].
[[File:Common brimstone butterfly (Gonepteryx rhamni) male in flight.jpg|thumb|Kipepeo aina ya (''[[Gonepteryx rhamni]]'') akiruka]]
 
Mstari 28:
==Utangulizi==
[[Picha:Papilio xuthus and HIGANBANA Lycoris radiata.jpg|thumb|''Papilio xuthus'']]
Vipepeo wa kweli ni wadudu wa [[nusuoda]] [[Glossata]]. Wana wengine wa Lepidoptera huitwa [[nondo (mdudu)|nondo]]. Kama ilivyo kwa wadudu wengi mzunguko wa maisha wa vipepeo huwa na sehemu nne: yai, [[lava]] (kiwavi), bundo na ndumilimdumili ([[w:imago|imago]]). Spishi nyingi zaidi huruka wakati wa mchana. Rangi zao za kupendeza na miruko yao ya mbwembwe hufanya kuangalia vipepeo kuwa miongoni mwa tabia za kupendeza kwa baadhi ya watu.
 
Vipepeo wengi kiasili wamepitia mabadiliko makubwa. Wengine wametoka na na mabadiliko kutoka kwa wadudu kama vile mchwa. Vipepeo ni muhimu sana kwa kusaidia uchavushaji kwa binadamu, sababu zinapelekea mharibifu wa mazao hasa katika hatua ya lava ya ukuaji nao kitamaduni, vipepeo ni motifu maarufu katika sanaa ya maandishi na maonesho.
Mstari 63:
Baadae bundo hukua na kupitia mabadiliko katika mfumo wa metamofosisi na kuwa kipepeo kamili.
 
===NdumiliMdumili===
[[Picha:Butterfly_portrait.jpg|thumb|Uso wa kipepeo]]
Katika hatua hii kipepeo huitwa ndumilimdumili. Jinsi yake pia hutambulika kwa mara ya kwanza. Huwana mbawa za mbele na nyuma, hukuza mbele zikiwa hazijajishikiza pamoja. Huwa na miguu sita. Kisha kutoka nje mara ya kwanza, vipepeo huanza kujifunza kuvuka, nani muda huu ambapo huwa hatari sana kwani huweza vamiwa na maadui. Zoezi hili huchukua saa 1 mpaka 3.
 
==Maumbile==