Kiuadudu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza viuadudu vya kibiolojia
Mstari 1:
[[Picha:Kente_l.jpg|thumb| Mkulima akinyunyiza kiuadudu kwenye [[mkorosho]] nchini [[Tanzania]] ]]
[[Picha:Pif_Paf_Insecticide.jpg|right|thumb| Kiuadudu cha nyumbani ]]
'''Kiuadudu''' (pia; '''kiuawadudu''' au '''dawa ya wadudu''''''<nowiki/>'', ing. insecticide''<nowiki/>'''''')'''''' ni [[sumu]] au [[patojeni]] iliyoandaliwazilizoandaliwa kuua [[wadudu]], kuwafukuza au kuchelewesha maendeleo yao.<ref>{{Cite web|url=http://www.iupac.org/publications/pac/2006/pdf/7811x2075.pdf|title=Glossary of Terms Relating to Pesticides|author=IUPAC|publisher=[[IUPAC]]|year=2006|accessdate=January 28, 2014}}</ref> Kinaweza kulenga wadudu wenyewe, mayai au [[lava]].
 
Viuadudu hutumiwa katika [[kilimo]], [[tiba]], [[Sekta ya viwanda|tasnia]] na kwenye nyumba za watu. Watu hulenga kuua wadudu kwa sababu wanaweza kuharibu mali, kusababisha hatari ya afya au kuwa usumbufu tu. Viuadudu vinatajwa kuwa sababu muhimu ya kuongezeka kwa tija ya kilimo ya karne ya 20. <ref name="EmdenPeakall1996">{{Cite book|url={{google books |plainurl=y |id=PyjFtiNFVG0C}}|title=Beyond Silent Spring|last=van Emden|first=H.F.|last2=Peakall|first2=David B.|date=30 June 1996|publisher=Springer|isbn=978-0-412-72800-6}}</ref>
Mstari 21:
<ref>Murray B. Isman "Botanical Insecticides, Deterrents, And Repellents In Modern Agriculture And An Increasingly Regulated World" Annual Review Of Entomology Volume 51, pp. 45-66. {{DOI|10.1146/annurev.ento.51.110104.151146}}</ref>
 
==Viuadudu vya kikemiakikemikali==
Tangu siku za kale kemikali chache ziliwahi kutumiwa kuzuia au kuua wadudu waharibifu, hasa katika kilimo. Kati ya madawa yale yalikuwa [[sulfuri]] na [[asenia]]. Tangu mwisho wa karne ya 19 kemia iliwezesha madawa mbalimbali ya kuua au kudhibiti wadudu. Madawa haya yalileta mafanikio makubwa na kuongeza mavuno ya mazao duniani hivyo kusaidia kulisha idadi kubwa ya watu.
 
Lakini mara nyingi ilionekana baadaye kwamba maendeleo haya yalikuja sambamba na hasara zilizotambuwa baadaye.
 
==Viuadudu vya kibiolojia==
Kwa sababu viuadudu vya kemikali vina athari mbaya kwa mazingira mara nyingi, siku hizi [[dawa ya kibiolojia|viuadudu vya kibiolojia]] hutumika. Viuadudu hivi vina viambato viasilia, k.m. vidubini au misindiko ya mimea. Kwa kawaida vinategenezwa kwa kukuza na kukusanya vidubini vinavyotokea [[uasilia]]ni, labda pamoja na vifundiro vya metaboli vyao, k.m. [[bakteria]], [[virusi]], [[kuvu]] na [[protozoa]]. [[Nematodi]] hushirikishwa katika orodha hii ijapokuwa si vidubini kwa kweli. Dawa hizi zinachukuliwa mara nyingi kama visehemu shiriki vya miradi ya [[mchanganyiko wa udhibiti wa viharibifu]] ([[Kiing.]]: [[w:integrated pest management|integrated pest management) na zinatumika zaidi na zaidi badala ya dawa za kikemikali.
 
== Matatizo ya mazingira ==
 
=== Athari kwa spishi zisizolengwa ===
MadawaDawa menginenyingi za kikemikali huua spishi nyingine lengwazisizolengwa. Kwa mfano, ndege wakila nafaka zilizonyunyiziwa kwa kiuadudu wanaweza kupokea kiasi cha dawa kinachowaua.<ref name="palmerw">Palmer, WE, Bromley, PT, and Brandenburg, RL. [http://ipm.ncsu.edu/wildlife/peanuts_wildlife.html Wildlife & pesticides - Peanuts]. North Carolina Cooperative Extension Service. Retrieved on 14 October 2007.</ref> Madawa ya kunyunyizia huweza kupulizwa na upepo mbali na mashamba yaliyolengwa hadi eneo ambalo limetengwa kwa wanyamapori, hasa yakinyunyiziwa kwa njia ya eropleni.
 
=== DDT ===