Kiwavijeshi wa Afrika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 38:
Badiliko katika [[bundo|mabundo]] hufanyika takriban [[sm]] 2-3 chini ya uso wa [[ardhi]] katikati ya [[kimelewa|vimelewa]] na mbali na ardhi tupu. Kisa hiki cha kuwa mabundo husababisha kutoweka ghafla kwa viwavi wote pamoja, haswa ikiwa [[udongo]] ni mnyevu.
 
===MdumiliWadumili===
[[Mdumili|Wadumili]] huibuka katika siku 7 hadi 10 na huweza kuishi hadi siku 14. Upana wa [[bawa|mabawa]] ya nondo mpevu ni mm 20-37. Mabawa ya mbele ni kahawiakijivu na mabawa ya nyuma ni meupe yenye [[vena]] zinazoonekana. Majike na madume wanaweza kutofautishwa na idadi ya [[unyoya|manyoya]] magumu kwenye kulabu ya kupashia mabawa, ambapo madume huwa na unyoya mmoja wakati majike huwa na kadhaa. Majike pia hutambulika kwa sababu ya ncha ya [[fumbatio]] yenye umbo la [[raketi]] na vigamba vyeusi. Madume wamezingatiwa kukomaa mapema kuliko majike.