Boroni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10:
| valensi = 2, 3
| densiti husianifu =
 
|ugumu = ~9.5
| kiwango cha kuyeyuka = 2349 K (2076 °C)
Line 26 ⟶ 25:
 
== Umbo hobela au la fuwele ==
Inapotapaswa kutoka kwa [[kampaundi]] zake hupatikana katika [[umbo]] hobela kama [[unga]] wa [[rangi]] ya [[kahawia]] au la [[fuwele]] [[nyeusi]] na ngumu isiyohami [[umeme]]. Boroni ni [[dutu]] ngumu kuliko zote duniani baada ya [[almasi]] na kati ya elementi zote ni imara dhidi ya nguvu ya mvuto.
 
== Matumizi kiteknolojia ==
Line 32 ⟶ 31:
 
== Nafasi ya kibiolojia ==
Kwa kiasi kidogokidogo boroni ina kazi katika [[miili]] ya [[wanyama]]: haijaeleweka ni kazi gani, isipokuwa imeonekana ni muhimu. Asidi ya boroni ni [[kiuawadudu]] (insecticide), hasa dhidi ya [[sisimizi]], [[viroboto]] na [[mende]], lakini haiudhi [[Chordata|wanyama wenye uti wa mgongo]].<ref name="Klotz 1994 1534–1536">{{Cite journal|title = Oral toxicity of boric acid and other boron compounds to immature cat fleas (Siphonaptera: Pulicidae)|first = J. H.|last = Klotz|journal = J. Econ. Entomol.|volume = 87|issue = 6|pages = 1534–1536|date = 1994|pmid = 7836612
|last2 = Moss
|first2 = J. I.
Line 42 ⟶ 41:
|first5 = R. S.|doi = 10.1093/jee/87.6.1534}}</ref>
 
==Picha==
<gallery>
Image:B,5.jpg
</gallery>
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==