Kwando : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
{{Mto | jina = Mto wa Kwando (Cuando)
| picha =Zambezi_River_at_junction_of_Namibia,_Zambia,_Zimbabwe_&_Botswana.jpg
| maelezo_ya_picha = Mto Kwando (kushoto) unaingia [[Mto Zambezi]] kwenye mji wa Kazungula (kulia katikati)
Mstari 5:
| mdomo =
| nchi = [[Angola]], [[Zambia]], [[Namibia]], [[Botswana]]
| urefu = km 1,500 km
| kimo = m 1,700 m takribanhivi
| mkondo = ??
| eneo = km² 96,778 km²
| mdomo = [[Mto Zambezi]] kwa mji wa Kazungula (Zambia)
| tawimito =
Mstari 17:
}}
'''Kwando''' (au: '''Cuando'''; kabla ya [[mdomo]] pia '''Linyanti''' halafu '''Chobe''') ni [[mto]] wa [[Afrika ya Kusini]] na [[tawimto]] wala [[Zambezi (mto)|Zambezi]]. [[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake ikokiko [[nyanda za juu za Bié]] ([[Angola]]) inapoelekea kusini-mashariki. Inakuwa mpaka kati ya Angola na [[Zambia]] kwa 140 [[km]] 140, halafu inapita [[Kishoroba cha Caprivi]] na kuwa mpaka kati ya [[Namibia]] na [[Botswana]].
 
Inaingia katika mabwawa wa Linyanti yenye [[km²]] 1,425 km². Katika sehemu hizihizo mto huitwa kwa majina Chobe au Liyanti.
 
Kwa [[jina]] la Chobe unaingia katika mto Zambezi kwenye [[mji]] wa [[Kazungula]] pale ambakoambapo nchi nne za Botswana, Namibia, Zambia na [[Zimbabwe]] zinakutanazinapokutana.
 
==Tazama pia==
Mstari 31:
[[Category:mito ya Zambia]]
[[Jamii:Mito ya Afrika]]
[[Jamii:Mto Zambezi]]
[[Jamii:Bahari ya Hindi]]