Tofauti kati ya marekesbisho "Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO)"

no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[Picha:FAO logo.svg|thumb|200px|Nembo la FAO]]
'''Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa''' (kwa [[Kiingereza]]: "''Food and Agriculture Organzation of the United Nations''"; [[kifupi]]: '''FAO''') ni kitengo cha [[Umoja wa Mataifa]] kinachopambana na tatizo la [[njaa]] [[duniani]].
 
Inalenga kuboresha [[uzalishaji]] na ugawaji wa [[mazao]] na [[vyakula]] duniani kwa shabaha ya kuboresha hali ya [[lishe]] ya [[watu]] duniani.
552

edits