Mkutano wa dunia juu ya haki za binadamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
#1LIB1REF #WikiForHumanRights
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:49, 25 Januari 2020

Mkutano wa Dunia Juu ya Haki za Binadamu ulifanywa na Umoja wa Mataifa mjini Vienna nchini Austria tarehe 14 mpaka 25 Juni 1993. Ulikua ni mkutano wa haki za binadamu kufanywa tangu kumalizika kwa vita baridi vya Dunia. Matokeo ya mkutano huo yalikua ni Azimio la Vienna na Mpango wa Utendaji.

Marejeo

[1]

  1. Norchi, Charles (2004). "Human Rights: A Global Common Interest". In Krasno, Jean E. The United Nations: Confronting the Challenges of a Global Society. Lynne Rienner Publishers. p. 87. ISBN 1-58826-280-4.