Ofisi ya kamishna mkuu wa haki za binadamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
#1Lib1Ref #WikiForHumanRights
(Hakuna tofauti)

Pitio la 10:33, 25 Januari 2020

Ofisi ya kamishna Mkuu wa haki za binadamu ni taasisi (Kitengo) cha sekretarieti ya Umoja wa Mataifa inayotenda kazi ya Kukuza na kulinda haki za binadamu iliyohidhinishwa chini ya sheria za Kimataifa na kuanishwa katika Azimio la Haki Binadamu la 1948. Ofisi iliundwa na Mkuutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa uliofanyika tarehe 20 Disemba 1993 baada ya Mkutano wa Dunia wa Haki za Binadamu.[1]

Marejeo

Viungo vya nje

  1. Brief history. Iliwekwa mnamo 5 September 2018.