Baraza la Vijana la Uingereza (BYC) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
#1Lib1Ref #WikiForHumanRights
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Baraza la Vijana la Uingereza (BYC)''' ni shirika nala misaada la uingereza[[Uingereza]] ambalo linafanya kazi ya kuwawezesha na kukuza maslahi ya [[vijana]]. BYC inaendeshwa na vijana, na iko ili kuwakilisha maoni ya vijana kwa serikali na wafanya maamuzi katika ngazi za kitaifa, ulaya na kimataifa; na kukuza ushiriki a vijana kwa jamii na maisha ya umma. Kwa sehemu inafadhiliwa na Idara ya Utamaduni, Vyombo vya Habari na Michezo. <ref>https://apps.charitycommission.gov.uk/Showcharity/RegisterOfCharities/SearchResultHandler.aspx?RegisteredCharityNumber=1123224</ref>
 
BYC inaendeshwa na vijana, na iko ili kuwakilisha maoni ya vijana kwa [[serikali]] na wafanya maamuzi katika ngazi za kitaifa, [[Ulaya]] na kimataifa; na kukuza ushiriki wa vijana kwa [[jamii]] na [[maisha]] ya [[umma]].
 
Kwa sehemu inafadhiliwa na Idara ya Utamaduni, Vyombo vya Habari na Michezo. <ref>https://apps.charitycommission.gov.uk/Showcharity/RegisterOfCharities/SearchResultHandler.aspx?RegisteredCharityNumber=1123224</ref>
 
==Marejeo==
<references/>
 
[[Jamii:Ufalme wa Muungano]]