Tofauti kati ya marekesbisho "Catherine Valentine Magige"

no edit summary
'''Catherine Valentine Magige''' alizaliwa 8/5/1981 mkoani Arusha. Alpata elimu yake ya MsiniMsingi katika shule ya msingi Kimandolu kuanzia 1989-1995 na elimu ya sekondari katika shule wa wasichana Ngarenaro kuanzia 1996-1999.<ref>https://www.jamiiforums.com/threads/wasifu-wa-ndani-mh-catherine-magige-na-nia-yake-ya-2015.290791/ </ref>. Ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha kisiasa]] cha [[CCM]]. Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Viti maalum vya wanawake]] kwa miaka mitano ([[2015]] – [[2020]]. ) <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref> 2014 alikuwa mwakilishi katika bunge la Katiba <ref>https://www.jamiiforums.com/threads/wasifu-wa-ndani-mh-catherine-magige-na-nia-yake-ya-2015.290791/ </ref>
 
==Marejeo==
211

edits