Ngonjera : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuboresha
nimeongezea kuhusu mbunifu wa Ngonjera
Mstari 1:
'''Ngonjera''' ni aina ya mashairi ya majibizano baina ya pande / watu wawili (2) au zaidi. Aghalabu mazungumzo hayo huwa na mijadala ya malumbano yenye kusudio la kutoa ujumbe maalumu kwa hadhira au jamii husika. Msemaji mmoja huuliza swali katika ubeti mmoja na mwingine hutoa jibu katika ubeti unaofuata na majibizano ya hoja kuendelea hivyo hadi kukamilisha mada ya mjadala husika. Kutokana na sifa hiyo, ndiyo maana kipera cha ngonjera kinapatikana katika utanzu wa ushairi na katika utanzu wa maagizo. Muundo ni sawa kabisa na mashairi.
 
Aina hii ya mashairi ilibuniwa na mshairi maarufu Tanzania Mathias Mnyampala
{{mbegu-lugha}}