UNHCR : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d The file Image:UNHCR.svg has been removed, as it has been deleted by commons:User:INeverCry: ''Per commons:Commons:Deletion requests/File:UNHCR.svg''. ''Translate me!''
No edit summary
Mstari 1:
'''UNHCR''' ni [[kifupisho]] cha '''United Nations High Commission for Refugees''' yaani '''Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi'''.
 
Ni chombo cha [[Umoja wa Mataifa]] chenye [[mamlaka]] ya kulinda [[jamii]] isiyo na makazi ([[wakimbizi]]). Mamlaka hiyo haijishughulishi na wakimbizi kutoka [[Palestina]], ambao wanasaidiwa na [[UNWRA]].
'''UNHCR''' ni kifupisho cha '''United Nations High Commission for Refugees''' yaani '''Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi'''.
 
Shabaha ya shirika hili ni usaidizi kwa wakimbizi [[duniani]]. UNHCR inajenga makambikambi yaza kupokea wakimbizi wakati wa [[vita]], inawapatia hifadhi kwenye nchi za jirani, inawasaidia kurudi kwa [[hiari]] nyumbani baada ya mapigano au kuhamia nchi nyingine.
 
Makao makuu ya UNHCR yako [[Geneva]], Uswisi. Shirika hili lilipokea mara mbili [[Tuzo ya Nobel ya Amani]] kwa ajili ya huduma na mafanikio yake ya kuokoa maisha, wakati wa 1954 na 1981.
 
UNHCR iliundwa [[mwaka]] [[1950]] baada ya [[vita kuu ya pili ya dunia]] na [[makao makuu]] yake yapo nchini [[Geneva]], [[Uswisi]]<ref>[http://www.undg.org/index.cfm?P=13 UNDG Members]. Undg.org. Retrieved on 2013-07-12.</ref> The UNHCR has won two [[Nobel Peace Prize]]s, once in 1954 and again in 1981<ref name="NobelFactsorg">{{cite web|url=http://nobelprize.org/nobel_prizes/lists/organizations.html|title=Nobel Laureates Facts – Organizations|publisher=[[Nobel Foundation]]|accessdate=2009-10-13}}</ref> .
 
==Tanbihi==
<references/>
 
== Marejeo ==
Line 12 ⟶ 18:
* Fiona Terry. ''Condemned to Repeat? The Paradox of Humanitarian Action''. Cornell University Press. 2002.
* Nicholas Steiner. ''Problems of Protection.'' Routledge. 2003.
{{Reflist}}
 
== Viungo vya nje ==
Line 30 ⟶ 35:
*[http://www.ninemillion.org/ Nine Million]
*[http://www.earthwater.ca/ EarthWater]
 
{{fupi}}
 
{{DEFAULTSORT:United Nations High Commissioner For Refugees}}
 
[[Jamii:Vita]]
[[Jamii:Umoja wa Mataifa]]
[[Jamii:Haki za binadamu]]