Kiuadudu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 27:
 
==Viuadudu vya kibiolojia==
Kwa sababu viuadudu vya kemikali vina athari mbaya kwa mazingira mara nyingi, siku hizi [[dawa ya kibiolojia|viuadudu vya kibiolojia]] hutumika. Viuadudu hivi vina viambato asilia, k.m. [[vidubini]] au misindiko ya mimea. Kwa kawaida vinategenezwa kwa kukuza na kukusanya vidubini vinavyotokea [[uasilia]]ni, labda pamoja na vifundiro vya [[metaboli]] vyao, k.m. [[bakteria]], [[virusi]], [[kuvu]] na [[protozoa]]. [[Nematodi]] hushirikishwa katika orodha hiyo ijapokuwa si vidubini kwa kweli. Dawa hizo zinachukuliwa mara nyingi kama visehemu shiriki vya miradi ya [[mchanganyiko wa udhibiti wa viharibifu]] ([[Kiing.]]: [[w:integrated pest management|integrated pest management]]) na zinatumika zaidi na zaidi badala ya dawa za kikemikali.
 
== Matatizo kwa mazingira ==