Tofauti kati ya marekesbisho "Kangi Alphaxard Lugola"

no edit summary
 
==Ajira==
Kangi Lugola alikuwa mwajiriwa wa jeshi la Polisi Tanzania na kuanzia mwaka 1993 hadi mwaka 1998 alikuwa afisa mkaguzi wa Polisi (Inspector) na Mwendesha mashitaka wa serikali, Mwaka 1998 mpaka 1999 alikuwa kaimu afisa mpelelezi mwandamizi wa Jeshi la Polisi, mwaka 1999 hadi 2000 alikuwa mkuu wa kituo daraja la kwanza. Mnamo mwaka 2001 hadi 2002 alikuwa mkuu wa ulinzi na usalama wa uwanja wa ndege na baadaye makwa alihamishiwa katika jumuiya ya afrika mashariki na hapo akapandishwa cheo na kuwa mkuu wa usalama.<ref>httphttps://www.parliament.go.tz/administrations/199</ref>
 
==Hoja na Misimamo==
251

edits