Tofauti kati ya marekesbisho "Martha Jachi Umbulla"

no edit summary
'''Martha Jachi Umbulla''' (amezaliwa tarehe [[10 Novemba]] [[1955]]) ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[Chama cha kisiasa]] cha [[Chama Cha Mapinduzi]] (CCM). Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Viti maalum vya wanawake]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]]. <ref>[httphttps://www.parliament.go.tz/administrations/151 Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>
==Marejeo==
<references/>
251

edits