Joatham Mporogoma Mwijage Kamala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Joatham Kamala.jpg|thumb]]
'''Joatham Mporogoma Mwijage Kamala''' ([[16 Mei]], [[1946]] - [[18 Juni]], [[1998]]), alikuwa ni [[mwanasiasa]], [[kiongozi]] na mwanachama wa [[Chama cha Mapinduzi]] (CCM). AlikuaAlikuwa na kipawa asilia cha [[uongozi]] na utashi mzuri kiasi cha kumgusa Baba wa Taifa la Tanzania, Marehemu [[Mwalimu]] [[Julius Kambarage Nyerere]] haswa kwa [[imani]] yake kubwa juu ya misingi ya [[ujamaa]]. Amewahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi nchini.
 
Mpenzi mkubwa wa kusoma [[vitabu]], haswa vitabu vya siasa, uongozi na [[uchumi]]. Joatham hukumbukwa kwa utashi wake mkubwa kwenye masuala ya [[siasa]] na wengi humuita mwanasiasa aliyebobea ambaye hakupata kuwa maarufu ndani na nje ya mipaka ya nchi yake.
 
Joatham alizaliwa katika [[kijiji]] cha Bwemera/Bwoki, kata ya [[Bugandika]], [[wilaya ya Missenyi]] (Bukoba vijijiniVijijini kwa wakati huo) [[Mkoa wa Kagera|mkoani Kagera]].

Alianza [[elimu]] yake ya msingi katika [[shule ya msingi]] Bugandika kutoka darasa la kwanza mpaka la nne, aliendelea na darasa la tano mpaka la nane katika shule ya msingi Kigarama. Baada ya elimu ya shule ya msingi, alichaguliwa kujiunga na shule ya [[sekondari]] ya Kahororo ambapo alisoma kutoka kidato cha kwanza mpaka cha nne. Baada ya hapo alijiunga na elimu ya juu ya sekondari katika shule ya sekondari ya Ihungo, Kagera ambapo alihitimu kidato cha sita.

Baada ya elimu ya sekondari, alifanikiwa kuendelea na elimu ya [[chuo kikuu]], katika [[Chuo kikuu cha Dar es salaamSalaam]] na kupata [[Shahada]] ya Sayansi ya Siasa na Uongozi wa Umma, huko alijengeka kisiasa na kushiriki kwenye harakati mbalimbali pamoja na wanasiasa wengine kama Pius Ng'wandu, Adam Marwa, [[Yoweri Museveni]], [[Jenerali Ulimwengu]], Marehemu [[Sebastian Kinyondo]] na wengine wengi.
 
Joatham alifariki tarehe 18 Juni 1998 kwa tatizo la [[kansa]] ya shavu. Ameacha [[mjane]] Florence Kamala na [[watoto]] Emmanuel na Peter Kamala.
 
Joatham alifariki tarehe 18 Juni 1998 kwa tatizo la kansa ya shavu. Ameacha mjane Florence Kamala na watoto Emmanuel na Peter Kamala.
==Viungo vya nnje==
* Tovuti ya [https://www.bunge.go.tz Bunge la Tanzania]
{{DEFAULTSORT:Kamala, Joatham}}
{{mbegu-mwanasiasa}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1946]]
[[Jamii:Waliofariki 1998]]