Tofauti kati ya marekesbisho "Shairi"

116 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
==Vina==
Vina ni silabi zenye [[sauti]] ya namna moja zinazotokea katikati au mwishoni mwa kila [[Mshororo]] wa kila ubeti wa shairi. Hivyo basi kuna ''vina vya kati'' na ''vina vya mwisho''.
 
Ili shairi lako lihesabike kama limetimia vina,ni lazima herufi za mwisho na za kati za ubeti wako ziwe zinafanana
 
==Ubeti==