Sanaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 13:
 
==Aina za sanaa==
===Sanaa za uoneshimaonyesho===
Hizi ni sanaa ambazo uzuri wake hujitokeza katika umbo la kudumu, umbo ambalo linaweza kuhifadhiwa, hivi kwamba uzuri wake ukaendelea kuonekana wakati wowote ule.