6,592
edits
(→Vina) |
(Nimeongezea kuwa shairi ni sanaa inayoingia katika fasihi andishi na fasihi simulizi.) |
||
'''Shairi''' ni sehemu ya [[fasihi]]. Mashairi ni [[tungo]] zenye kutumia mapigo ya [[silabi]] kwa utaratibu maalumu wa [[Muziki|kimuziki]] kwa kutumia [[lugha ya mkato]], [[lugha ya picha]] na [[tamathali za semi]].
Shairi ndio fasihi pekee duniani ambayo huingizwa katika fasihi andishi na fasihi simulizi.
Mashairi huweza kuandikwa au kutungwa kulingana na jinsi yanavyoonekana. hii ina maana kuwa, mashairi huweza kutofautishwa kwa [[idadi]] ya mishororo, jinsi maneno yalivyopangwa, [[urari]] wa [[kina (fasihi)|vina]] na kadhalika.
|