Shairi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimeongezea kuwa shairi ni sanaa inayoingia katika fasihi andishi na fasihi simulizi.
No edit summary
Mstari 1:
'''Shairi''' ni sehemu ya [[fasihi]]. Mashairi ni [[tungo]] zenye kutumia mapigo ya [[silabi]] kwa utaratibu maalumu wa [[Muziki|kimuziki]] kwa kutumia [[lugha ya mkato]], [[lugha ya picha]] na [[tamathali za semi]].
 
ShairiMashairi ndiondiyo fasihi pekee [[duniani]] ambayo huingizwa katika [[fasihi andishi]] na [[fasihi simulizi]].
 
Mashairi huweza kuandikwa au kutungwa kulingana na jinsi yanavyoonekana. hiiHii ina maana kuwa, mashairi huweza kutofautishwa kwa [[idadi]] ya [[Mshororo|mishororo]], jinsi [[Neno|maneno]] yalivyopangwa, [[urari]] wa [[kina (fasihi)|vina]] na kadhalika.
 
Kuna [[mashairi]] yanayofuata taratibu za [[mapokeo|kimapokeo]], yaani yanazingatia taratibu za [[urari]] na vina, [[mizani (ushairi)|mizani]], idadi sawa ya mistari, vituo na [[ubeti|beti]]. Mashairi hayo huwa na mizani 14 au 16 katika kila mstari, yaani mizani 7 au 8 kwa kila kipande cha mstari.
 
Pia kuna mashairi yasiyofuata utaratibu huo wa kimapokeo na huitwa mashairi ya kimamboleo. Mashairi hayahayo mara nyingi huwa ni [[nyimbo]].
Mashairi huwa na mizani 14 au 16 katika kila mstari, yaani mizani 7 au 8 kwa kila kipande cha mstari.
 
Pia kuna mashairi yasiyofuata utaratibu huo wa kimapokeo na huitwa mashairi ya kimamboleo. Mashairi haya mara nyingi huwa ni [[nyimbo]].
 
;Mfano :
Line 38 ⟶ 36:
Vina ni silabi zenye [[sauti]] ya namna moja zinazotokea katikati au mwishoni mwa kila [[Mshororo]] wa kila ubeti wa shairi. Hivyo basi kuna ''vina vya kati'' na ''vina vya mwisho''.
 
Ili shairi lako lihesabike kama limetimia vina, ni lazima [[herufi]] za mwisho na za kati za ubeti wako ziwe zinafanana.
 
==Ubeti==
NiUbeti ni fungu la mistari lenye maana kamili. Ubeti unaweza kulinganishwa na [[aya]] katika maandiko ya kinathari. Mara nyingi ubeti huishia katika kituo. Ubeti mmoja unaweza kuwa na:
*Mstari mmoja ([[tamonitha]])
*Mistari miwili (tathiniya/[[tathinia]]/uwili): shairi hili huwa na mishororo miwili katika kila ubeti. vina vyake vyaweza kuwa na mtiririko.
*Mistari mitatu ([[tathilitha]]): shairi hili huwa na mishororo mitatu katika kila ubeti. vina vyake huenda vikawa na urari.
*Mistari mine ([[tarbia]]): shairi la aina hii huwa na mishororo minne katika kila ubeti. mara nyingi shairi hili hugawanywa katika sehemu mbili, [[ukwapi na utao]] . mshororoMshororo wa kwanza wa shairi hili huitwa kipokeo, wa pili huitwa mloto, wa nne huitwa kibwagizo. kibwagizo huwa kinarudiwarudiwa katika kila ubeti.
*Mistari mitano ([[takhmisa]]): hili ni shairi lenye mishororo mitano katika kila ubeti
*Mistari zaidi ya mitano ([[sabilia]]), kwa mfano: [[tasdisa]] huwa na mishororo sita katika kila ubeti, [[tathmina]] huwa na mishororo minane katika kila ubeti, [[ukumi]] huna na mishororo kumi katika kila ubeti.
Line 56 ⟶ 54:
Ni mstari (mshororo) wa mwisho katika kila ubeti wa shairi ambao huonesha msisitizo wa ubeti mzima au shairi zima. Wakati mwingine kituo huitwa [[kibwagizo]]/[[korasi]]/[[mkarara]]/[[kiitikio]].
 
Kibwagizo ni mshororo wa mwisho katika ubeti ambao unajirudia rudiaunajirudiarudia.
 
==Tazama pia==